Skip to main content

Posts

Showing posts from June, 2020

Hey Sis

Hey sis You are beautiful Your mistakes don't define you You are a rare gem Your brown skin is exotic You are a queen Your love is pure You are unforgettable Your words are full of thought You speak highly of yourself Your energy is contagious Hey Sis series by Ms Carol other reads https://theehangoutbuddy.blogspot.com/2020/05/dear-us-black-people-let-this-be-last.html https://theehangoutbuddy.blogspot.com/2020/05/dear-woman-of-my-time_27.html https://theehangoutbuddy.blogspot.com/2020/05/lock-down-feels-how-are-you-feeling-is.html https://theehangoutbuddy.blogspot.com/2020/05/still-i-stand.html

KARAU NI THUGS KWA MTAA

Nikiona karau nafaa kufeel safe instead nafeel scared Badala ya kuwategemea tunawaogopa Badala ya kutulinda wanatuwinda Badala ya kutulinda wanatumurder Badala ya kutulinda wanatuiba  Siwezi make report, Utumishi kwa wote imegeuka biashara Naenda aje kuseek justice kwa leaders of injustice? Karibu kenya where tunaogopa karau more than covid-19 Karibu kenya where Mtoto wa 13 years ana-threaten karau ako na gun Karibu kenya where jamaa anajaribu kuzika the wife analala kwa streets na coffin ya the wife juu ya karau Karibu kenya where mwenye hana pesa ya mask anachapwa to death na karau juu amebreak curfew akitafuta hiyo pesa Karibu kenya where Karau ananichapa hajavaa hiyo mask.  Karibu kenya where Navunjwa pua na kuibiwa na karau na nikienda kureport kwa police station nafukuzwa kama criminal Karibu kenya where a 2 mnth old baby ana fight for his life kwasababu ya tear gas ya karau Karibu kenya where Kijana ana-suffocate to death kwasababu ya tear...